Friday 27 June 2014

Mr Hongo Song Lyrics

Chorus

Ni kwa nini wanishika afande
na kosa sijafanya
Unasema nimelewa
Na bila hongo ndani nitaenda*2

Ni saubuhi na mapema
Nimeamka nimechangamka tena
Ninapiga magoti namsifu maulana
kwa kunipa siku njema
kisha baadaye kiamsha kinywa
nikimaliza mama kwaheri
tutaonana jioni mola akipendaaa
nashika njia niende stendi nikapande matatu
kwenye barabara napata askari watatu
wananiuliza maswali tena matatu uuu
eti umetoka wapi na unaenda wapi
ebu leta begi kwani umebeba nini
before nijitetee nina pingu mkononi
hongo wanadai nimefanya kosa gani

Chorus

Verse 2
Wakaniweka kwa gari lao
huku mie nimechoka bishana nao
ni serikali aina gani ambayo yadhulumu hadharani
tumejazana ndani ya gari
hapakule ni vijana pia wazazi
wameketi kunyenyekea wengi wao bila kosa kusingiziwa eti


Bridge

Toa hongo ushuke
huu ndio mtindo
haijalishi hata kama hujafanya kosa
tuko kazi mwananchi wewe,wewe*2

Chorus

Verse 3

Huyu mia mwingine thao
wakashuka nikabaki na makarao
haijalishi nitaenda nao
mimi naamini haki itakua ngao yeah!
Tukazidi mdogomdogo hukubado wananiitisha kitu kidogo
Utumishi kwa wote sa imekuwa utoanishi kwa wote
ndio mnone si' tukonde m'dosike si' tusote
haiwezekani!
change inaanza na mimi
lazima nitaibring ata kama ita mean i remain cuffed in these chains sibanduki
I am in the game corruption piga nduki yeah!

Chorus

Get whole album here and download it for freehttp://noisetrade.com/jayplusinternational/raindrops

Thursday 26 June 2014

Malo Song Lyrics

Intro

Yezir...Am wordless cant say am worthless
God has given me all i need yes legooo...

Chorus


Ating'o nyingi malo(*3) (i lift you name on high)
Imia Teko(*4) 
(You give me strength)
Nyasachaaaah(*2)
(My God)

Verse One

Sicheki nyuma kama wife ya lot lord
Naamini kwangu wewe ndio the salt soo...
Nacheki mbele nikingoja result
Kuteleza si kudunda mseeh ah
Walianguka mara ngapi akina Paul na Job but
Hawakusare walizidi na job
Hata Jesus walimpiga mob
Akina Judas kumsaliti na bob
Shilingi ya kenya Daddy oh
Ebu rudi bafu oga oh
Yesu ndiye maji safi joh
Walidhani wamemzima shocker kwao
Akarise ki IMAX 3D
Let me praise Him in My mother tongue
Ating'o nyingi malo,malo (i lift your name on high)
Lord am so proud when i call you my Lord
Umefanya alot kuon gi  alot iketo na e mesa
achiemo ka meneja
( You have provided me with food and given me the life of a king)

Verse Two

Eh yo Breathe in me 
your air soo wonderful
Speak to me
Your sound so credible
Take my heart we're so compatible
Nyasaye ber!ber!ber! (*2)
Amiel amiela nikech Yesu otimo madongo mayne
(Am dancing because God has done great things)
Amenipa ubongo mayne
Mi timamu mi si fyatu
Msichana umeiva we si kiatu
Ah image yako ni brand ya God
Wakiflows na doh we unabrag na God
Ye ndio muhimu hizo zingine ni loss
Remarkable things zinahappen this year
You better log in and create an account 
Coc God anakam ku deposit an amount

Chorus

Verse Three

Twende kazi boss
nimecome ku oppose kazi mbaya za devil
za kuleta ma devorce
kati yetu na mwokoz first love tumepose hainibambi ofcourse
Ah evil forces tuna burn down
Team Jesus tuna take over
Ating'o nyingi malo,malo
Lord am so proud when i call you my Lord
Umefanya alot kuon gi  alot iketo na e mesa
achiemo ka meneja

Bridge

Ginyieri ga
Nikech ionge pesa kata ndiga
Iwuotho gi tiendi
(People mock and laugh at you
because you are poor)
Waliokucheka kwa shoe_baru watakuona ukipita na su_baru(*2)

Chorus

The End


Wednesday 25 June 2014

Suarez is only Human.What would you do if you are hungry and you come across a hot dog....?Think about it.